Na mimi ndio huo huo uzuri wa nje.
Hivi unajisikiaje unaposikia au kuambiwa "Nimemuona binti ana kimo cha kati na kati,hana urefu wa kuchukiza wala hana ufuoi wa kuchukiza,yaani yupo kati na kati"
Kwenye ukati na kati na ndipo kuna uzuri wa kutajika na hapa nazungumzia sifa za nje,zile sifa tunazoziona.