Kitendo cha mwanamke kukunywa balimi au safari huo ni ushindi kama wa Daudi kwa Goliath mamaπ π π I salute you mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mie nikinywa nyingi zinanipelekesha jamani siyo kwamba ndiyo silewi eti
[emoji4][emoji4]Nafurahi kusikia unaendelea vizuri
Vzr
Hujambo jirani yangu kipenziJirani yangu kipenzi hata ukiniweka miaka mianane ni sawa tu waaaahhh
Mshikaji wangu wa ukweli[emoji41][emoji41] [emoji4][emoji4]View attachment 1644135View attachment 1644136
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]mzee sura yako kweli inaendana na username yako umekaa ki-don sana
Mkuu unanotice aisee [emoji1373][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una dimples aisee[emoji7][emoji14]
unakula haramu π π π[emoji41][emoji41] [emoji4][emoji4]View attachment 1644135View attachment 1644136
Sijambo shikamoo jiraniHujambo jirani yangu kipenzi
Ningekuwa mimi ndo mfanyakazi mwenzio ulivyokuwa umelewa na hujitambui ningejaribu kupima hata oil[emoji1][emoji1]Chizi kabisa wewe eti nini[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ishu ni kwamba sikuwa na kumbukumbu nilipanda usafiri gani ukanifikisha home.nilijikuta niko nyumbani salama salimini
Walikuwa ni wafanyakazi wenzangu wakike kwa waume[emoji28][emoji28][emoji28]
Ulishawahi kungβangβanizwa kitu na marafiki zako ambao wanapiga masanga[emoji16][emoji16][emoji16]ni kizai zai aiseh asikwambie mtu[emoji2957][emoji2957]
Sijambo mama, msalimie ....
Ukimaliza kula ugali halafu usishibe ukamwomba mhudumu ukuongezee ugali mwingine(bila kuulipia yaani akuongezee ugali wa bure)Okay ahsante na huo Mchembo ni nini? Duh vyakula vina majina mengi akii[emoji3]
Niko kigamboni Leo ujue ,hahahaha
Hahahaha, eti kupima ....duhNingekuwa mimi ndo mfanyakazi mwenzio ulivyokuwa umelewa na hujitambui ningejaribu kupima hata oil[emoji1][emoji1]
Natania tu ndugu yangu mzuri
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Mkuu unakazia siyo....Hahahaha, eti kupima ....duh