Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mchuzi
IMG_20201207_190123_6.jpg
 
Thank you for the compliment rafiki,i appreciate😘, for real nimetamani kukuona pia, Mungu atujalie uzima tu ipo siku.

Ila kwenye kutupia hapo 😀😀🤭 sijui , hapo nilivaa mtishet flani oversize huo.
😍😍😍😍😍😍.! Imekaa vyema sana mkuu alfu una mwili fulani ambao hapa Mjini watu wanauhangaikia kwa madude kibao Mara Forever living Products na mengine .!
Itoshe kusema you have just caught my attention my dearest 🥰🥰 na ukijumlisha ustarabu wako huku jamvini..!
 
Wamepiga lami siku hizi hadi huko juu kabisa kwenye wodi za watoto ?? Nimewahi kuwepo hapo kwa miezi kadhaa .!
Kuna Barabara ya kupandisha na barabara ya kushuka ...! One way road.! Napamiss mbeya jamani.!
Kipenzi naweza pata picha zingine za huko kwetu .. Green city [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ninayo hiyo tu boss
 
Back
Top Bottom