Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,085
Baada ya Cole kucheka sana 😂😂😂😂😂Kwa nini umecheka?
Baada ya Cole kucheka sana 😂😂😂😂😂Kwa nini umecheka?
Doctored
This is what you see ukifungua tu hii jukwaa ya chit chat...Loooooord have mercy!!!!View attachment 1221626
Mimi sijajilipua na Wala mpambano haunihusu.Nitakutumia wewe Mtakatifu
😂😂😂😂Mimi sijajilipua na Wala mpambano haunihusu.
Mtumie Depal na yna2 na miminimama
Wamejilipua Sana humu
Hayo ndo mambo sasa umetufurasha macho unafurahishwa na pesa, halafu nisikoe mtu anasema mwenye wowowo mjini analala njaa, wakina sie ndo tunakomaa na maisha ila watoto wazuri wazuri kama nyie akaaaa mambo mtelezo kabisa.
Hongera si kwa wezere hilo dada.
KwakoKwa nani sasa kwa Bro au kwangu mimi ???
Watalaaniwa watakaojaribu kufanya hilo..!!
Weraaaaaaaa
Chibonge![]()
Wapi? Comment ya ngapi?Nisharusha mbona![]()
Mimi ni mama Nimekupenda bure sio kwa umbo hilo la kuvunja chaga
NakaziaUmeona eeh...wamtumie kwa kweli.
Kwako
Hivii kweli unataka niaibike?? this mizigo is not my league walaqhi tena!!Nasubr yk natuma zawadi
Kwani anamuwekea kichwaniUtaweza sukuma hilo zigo?
Kiasi tuu jamaniKumbe
Basi amechelewa
Tuwakulisheee basi 🔥🔥Model tumekubali kuzidiwa na hii mizigo kweli? Haiwezekani mi sikubali