Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji8][emoji8][emoji8]sijaitwa dear siku mobu [emoji28][emoji28]leo nitalala vizuri.

Nini kilikufanya usiwepo huko jirani.
Kesho Tukijaaliwa uzima nitakuwa huko
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mhmhh umeogea magadi nini, umenichekeshaa mno sasa mguu huo wa bia hutoi fursa watia nia ni wengi ungeitwa hivyo kila siku kila saa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo jirani nimeongea utopolo😆😆😆
Si unajua miluzi mingi humpoteza mbwa..so inabidi nitulie kabisaaa maana naweza kupoteza bara na pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…