Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,928
Kizuriiiii na mguu umekaa humo vyema
Kizuriiiii na mguu umekaa humo vyema
Vimguu vya kukuna hivi vikiwasha niite[emoji188]View attachment 1638192
Daaaa ushanichanganya....ngoja nikaitafute ilipo niweke kwenye kopo la maji ya kunywa watu wasijue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliweka picha ya mbege mpendwa
Umesahau kwenye ule uzi wa tag avatar mvutio, niliku tag banah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaa ila jamani raia
Ilipokuwepo mbona hakuna aliyewahi kuisifia nimeitoa ndiyo unaisifia jamani kweli
Najua kwa mbege na kisusio huchoki 😂😂Daaaa ushanichanganya....ngoja nikaitafute ilipo niweke kwenye kopo la maji ya kunywa watu wasijue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pichi blakiWhat's your body color?
[emoji2][emoji2][emoji2]Aina shida mkuuVimguu vya kukuna hivi vikiwasha niite
Mimi niliisifia mpendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaa ila jamani raia
Ilipokuwepo mbona hakuna aliyewahi kuisifia nimeitoa ndiyo unaisifia jamani kweli
[emoji7][emoji7]Kizuriiiii na mguu umekaa humo vyema
Pouwa mchumba za wewe[emoji6]
[emoji12][emoji12]Tupia na picha yakisimama sasa nijui nachukua cha rangi gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahaa kweli nimekumbuka basi naomba nisamehe kaka [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Umesahau kwenye ule uzi wa tag avatar mvutio, niliku tag banah
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimekumiss upo poa lakini[emoji2][emoji2][emoji2]Aina shida mkuu
Mmhh mpendwa uliisifia lini tena jamaniMimi niliisifia mpendwa
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7]
Miss u more darlin me niko frsh hofu kwako tu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimekumiss upo poa lakini
Sawa haya basi utabadilisha [emoji8][emoji8]Ahaa kweli nimekumbuka basi naomba nisamehe kaka [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hofu kwangu ondoa, nipo fiti my love kama kawa, naparangana na hii life, usiwe kimya sana nawe, unapoteaga naweMiss u more darlin me niko frsh hofu kwako tu
Si unajua simu naazimaga dear mwenye nayo siku akiamka ubavu uwa ananinyanganya [emoji4]Hofu kwangu ondoa, nipo fiti my love kama kawa, naparangana na hii life, usiwe kimya sana nawe, unapoteaga nawe
Utapata iphone macho matatu sasa hivi, jitume tu[emoji13][emoji13][emoji13]Si unajua simu naazimaga dear mwenye nayo siku akiamka ubavu uwa ananinyanganya [emoji4]