T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,487
Za kwangu njema/salama mamaNi poa sana za kwako baba
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Za kwangu njema/salama mamaNi poa sana za kwako baba
We nimekununia, huwezi kunichunia hivyo mpenzi[emoji2297][emoji2297]Hata mimi niko poa kabisa, mwambie pia shem Makiseo niko poa[emoji23][emoji125]
Ndio.njaa inaniuma na pesa sina
Are you sure?Kila kitu!!!!![emoji51][emoji51][emoji51]
Mpaka juice mbayaaaaaa[emoji19]
Teh!!Ndio.njaa inaniuma na pesa sina
Ni heri kusikia hivyo
Leo guu hujalitendea haki. Halijaonekana sawasawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Amina mpendwaNi heri kusikia hivyo
Kwa ufafanuzi tu uboho ni bone marrow [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kwani mimi ni bwana Jesus.
Sitaki pesa nataka uweke ugali na kyuku hapa nile sitaki kusikia Habari nyingine kwa sasa😅Amina mpendwa
Naomba nikupe pesa/hela/fedha ukale
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Kweli ni yeye cc. Mjep [emoji16]View attachment 1637722
Nimekikumbuka kiatu hiki lakini sina namna maana nilishakihonga kwa dogo[emoji18]
Haha...Bhasi naomba nishike kichwaKwani mimi ni bwana Jesus.
Hebu shindwa babu wee
Kishike chako babu we
Bado ugali na mboga za majani
Na wewe umeona mkuu, ahsanteKweli ni yeye Mjep [emoji16]
Wa kienyeji hawa bageshi au ni haya mabroila laini yasiyo na ladha mtu unatafuna utafikiri unatafuna karatasi?
Kienyeji bhageshiWa kienyeji hawa bageshi au ni haya mabroila laini yasiyo na ladha mtu unatafuna utafikiri unatafuna karatasi?
Pole mkuu usiwe na shaka usi mind bana utani tuNaanza kutokuwaelewa