Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Mpendwa ni macho yangu yananidanganya ama huu ni mguu au paja aisee 😤😤View attachment 1637722
Nimekikumbuka kiatu hiki lakini sina namna maana nilishakihonga kwa dogo😌
Mpendwa ni macho yangu yananidanganya ama huu ni mguu au paja aisee 😤😤View attachment 1637722
Nimekikumbuka kiatu hiki lakini sina namna maana nilishakihonga kwa dogo😌
ChakoriiMtu chake kafanyaje tena[emoji15][emoji15]
Hahaha salama kabisa mama! Ulipotelea wapi?Nzuri za wewe mrembo mwenye msimamo wake
Huwezi nyanyasika mkuu kila mtu kaumbwa kwa mfano wake.Mna tunyanyasa wenye tumiguu tudogo chembamba
Elly
Aiseeeeee!!View attachment 1637722
Nimekikumbuka kiatu hiki lakini sina namna maana nilishakihonga kwa dogo[emoji18]
Bizze na kazi mpendwa wanguHahaha salama kabisa mama! Ulipotelea wapi?
Hawajui kupika I guess 😑😑Kwa nn mkuu?
Mi mwenyewe sijui ujueMpendwa ni macho yangu yananidanganya ama huu ni mguu au paja aisee 😤😤
Ni hitimishe kwa kuandika kwamba best umebarikiwa 😍Mi mwenyewe sijui ujue
Nini sasa.hebu weka ugali na vyuku njaa inauma
Ni poa sana za kwako baba
😁😁👏👏🥂🥂🥂🥂🧚♀️🧚♀️🧚♀️Ni hitimishe kwa kuandika kwamba best umebarikiwa 😍
Hahaha....unataka ule picha?Nini sasa.hebu weka ugali na vyuku njaa inauma