Halafu unajua ratiba kuliko wao πAcha tu life hii, ila acha wale neema za nchi, sisi kipindi hicho tv tunaenda kuangalia kwa jirani
Ni nini hicho mkuu?It's just impurityView attachment 1634667
[emoji174][emoji174]RIP LEGEND.View attachment 1634738
Ndugu yako anachelewa kuja; mudi wa kupost anaweza kupeperuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau kunitag nkamu
Akhsanteee boss[emoji7][emoji178][emoji178][emoji178]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1634823
Baada ya kujishaua sana kutokukula usiku...usiku huu minyoo nayo leo imegoma kulala kabisa[emoji28][emoji28][emoji28] ikabidi niishie kula [emoji115]hapo..[emoji1666]hongereni sana minyoo maembe ndo hayo katengenezeni juisi tumboni.kesho tena usiku mgome kulala ninywe sukari sawa eee...[emoji28][emoji28]eheee[emoji41]
Dogo unakuja Dodoma kimya kimya hata hutoi taarifa[emoji2297][emoji2297]Oohh asante
Mie nipo Nyerere Square
Kwendaaaaa! [emoji57][emoji57]Espy uko wapi? Nataka nipost picha na ole wako usitoke JF
Karibu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajitesa bure.
Kuleni Jamani.
Yaani kananiona mtoto mwenzie haka kabinti[emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau kunitag nkamu
Uwiii[emoji39][emoji39][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwiii[emoji39][emoji39][emoji91][emoji91][emoji91]
We dada unajua kupika
Nitafunga safari kuja kwako nikae hata wiki moja tu unifundishe
Kumbe mpo wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heaven Sent ndio kapika.
Sent using Jamii Forums mobile app