Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

urefu ni fut 6½
IMG_20200914_172125_936.jpg


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Whaaaat ??[emoji15][emoji15] [emoji12][emoji12] Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though [emoji846][emoji846]...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!

Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa [emoji57][emoji57]

Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???
Choroko ni mbaya mno Lizzy nakupa tu tahadhari mapema[emoji848]
 
Back
Top Bottom