Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
Nikiamka asubuhi 🙃🙃Duh! Mda wa kuzila unautoaga wapi?
Morning groly huwa hauabudu?Nikiamka asubuhi![]()

Ndio dini gani hiyo????🤔Morning groly huwa hauabudu?![]()
Tatizo linaanza bado sijaanza kuzitafuta hizo pesaUtafutaji wa hela ni endless process, ila mume ni uhamuzi wako tu. Fungua moyo wako tuweze kuingia
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app


Happy birthday kwake
Acha kufurahisha .Ndio dini gani hiyo????![]()
Mkononi iyo elfu 10 au?
Na hata ukianza kuzitafuta, basi know hutoacha. Ila siamini kwamba huingizi hata 100 per day. Maisha ndio haya haya, one step at a timeTatizo linaanza bado sijaanza kuzitafuta hizo pesa
Pa kuanzia bado hapajaonekana.
Basi nikishaanza kuzitafuta labda nitafikiria watotoNa hata ukianza kuzitafuta, basi know hutoacha. Ila siamini kwamba huingizi hata 100 per day. Maisha ndio haya haya, one step at a time
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Elfu mojaMkononi iyo elfu 10 au?

Endelea kusubiri
Ten iyo sijaishika mdaElfu moja![]()

Habari za asubuhi mkuuNiko simple kama
Shaoulin moka.
Salama kwema bro?Habari za asubuhi mkuu
Kwema mkuuSalama kwema bro?