Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka yoyote nikuone
Yes yes yoh.
IMG_20201113_144645_399.jpeg
 
Asante sana, nakumbuka mama alikuwa ananikatia na kachumbari ya nyanya, napenda mseto huu na wa choroko ila huwezi amini sipendi wali plain na maharage
Whaaaat ??😳😳 😜😜 Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though 🙂🙂...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!

Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa 😏😏

Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???
 
Binafsi namshangaa mtu anaesema anapenda wali maharage aise😅
 
Back
Top Bottom