Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Subiri hapo hapoUswahili huo
Soon naweka
Subiri hapo hapoUswahili huo
Nawatamani wenye watoto[emoji7]Thank you Anne [emoji847]
Ni kazi kweli ila raha sana mkikutana mnaoendana [emoji5][emoji5]
Fanya hivyo kwakweli 👊🏾👊🏾Umenishawishi kupika maandazi.
Wacha jioni nipike.
Una kucha za kupostika[emoji16]#Mornings.....
Some mornings are dull and some are NOT!![emoji846]
View attachment 1630400View attachment 1630401
Tangu Jana ndio umeiona Leo[emoji1787]
Siasa umeanza lini?Subiri hapo hapo
Soon naweka
Usiishie kutamani mwaya. Kama muda na hali inaruhusu go for it!!💪🏾💪🏾Nawatamani wenye watoto[emoji7]
Pamoja na changamoto ndogondogo zinazowakumba watoto ila bado watoto ni baraka Sana..nyumba bila watoto hainogi.
Jana nilikuwa nimechoka sikufuatilia tag yako. Leo nimeona mchumba [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1787]Yaani pamoja na kukutag kote bado hujaona picha yangu???
Wewe mzembe Sana..panda comments za juu za Jana zile..angalia moja hadi nyingine utaona.
Leo pia Kuna mtu kacomment picha yangu niliyokutumia,fatilia comments za usiku utaona.
Ya nyumbani mazuri kwakweli.Fanya hivyo kwakweli [emoji1477][emoji1477]
Ya nyumbani matamu sana kuzidi ya kununua [emoji57][emoji57]
Ww lini unampango wa kupata mtoto? [emoji6][emoji6][emoji6]Nawatamani wenye watoto[emoji7]
Pamoja na changamoto ndogondogo zinazowakumba watoto ila bado watoto ni baraka Sana..nyumba bila watoto hainogi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiishie kutamani mwaya. Kama muda na hali inaruhusu go for it!![emoji1491][emoji1491]
Hadi nitakapopata hela na mume[emoji1787]Ww lini unampango wa kupata mtoto? [emoji6][emoji6][emoji6]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
[emoji847][emoji847]Nasubiri picha yako ingine[emoji7]Jana nilikuwa nimechoka sikufuatilia tag yako. Leo nimeona mchumba [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ndio naitafuta picha hapa ili niweke[emoji23]Siasa umeanza lini?
😊😊 nikiacha kuzila kweli zinapendeza pendeza kidogo 🙂🙂Una kucha za kupostika[emoji16]
Duh! Mda wa kuzila unautoaga wapi?[emoji4][emoji4] nikiacha kuzila kweli zinapendeza pendeza kidogo [emoji846][emoji846]
Sawa tuNdio naitafuta picha hapa ili niweke[emoji23]
Za kwangu njema/salama kabisa namushukuru MunguNi nzuri sana Elly.za kwako?
Utafutaji wa hela ni endless process, ila mume ni uhamuzi wako tu. Fungua moyo wako tuweze kuingia [emoji8][emoji8]Hadi nitakapopata hela na mume[emoji1787]
Sitamani nilete viumbe wa Mungu duniani waje kuwa chokoraa[emoji23][emoji23]mama yao Sina Hata Mia mbovu[emoji1787]
Ngoja nitafute[emoji847][emoji847]Nasubiri picha yako ingine[emoji7]