Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Jamani nyie hamjawahi kula kiporo cha wali maharage na chai ya mchai chai???🤔🤔Binafsi namshangaa mtu anaesema anapenda wali maharage aise😅
Jamani nyie hamjawahi kula kiporo cha wali maharage na chai ya mchai chai???🤔🤔Binafsi namshangaa mtu anaesema anapenda wali maharage aise😅
Utajua tu nakuaminiangoja nijifikirie kwanza maana sijawahi bado
![]()
Hebu siku ukibakiza kiporo cha wali na ndondo uniite nije kukila labda kwa mbaaaali sana nitashawishika kuanza kupenda wali😅Jamani nyie hamjawahi kula kiporo cha wali maharage na chai ya mchai chai???🤔🤔
Cha unga wa mchele.kwani wewe ulifikiri ni kipiWewe unajua kitumbua kipi![]()
Asante kwa 'vote of confidence' 😊😊Utajua tu nakuaminia
Nina shangazi yangu hatari sana kwenye kupika maharage, huyo nnaweza kula, tatizo nnapenda nyama...mama yupo, i make sure hata mara 5 mpaka 10 kwa mwaka nnakula chakula chake kwakuwa tunaishi mbali ntaenda kwake tarehe 18, na nimemuambia nimemiss samaki perege wadogo wa nyumba ya mungu na ndizi za kukaanga asubuhi kaniambia nisijali, i cant wait to board that trainWhaaaat ??![]()
Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though
...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!
Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa
Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???
Hata mimi sipendi ila nitakulaBinafsi namshangaa mtu anaesema anapenda wali maharage aise![]()
Kile nacho kitamuu dah basi tuCha unga wa mchele.kwani wewe ulifikiri ni kipi
Watoto wa geti kaliHeheheeeeeeeeeeeeeeeeeeee ushua eee..safi kabisa hahahaaaaaaa
Ni kweli geti la senyenge mkuu wala hujakosea🧚♀️🧚♀️Watoto wa geti kali
Siku nitajitolea kukupikia huu mchongo, wewe na madogo...utawaambia tuu kuna kijana nimemuajiri atakuja leo kupikaWhaaaat ??![]()
Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though
...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!
Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa
Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???

We wolf wa wapi wewe? utakua wa mjini maana wale wa polini whawachagui chakulaHata mimi sipendi ila nitakula
Utakula kwa kuwa huna namna lakini Sochi chakula ukipendacho.hiyo hali ndo ninayo sasaHata mimi sipendi ila nitakula
Basi inabidi upate na mpishi mwingine mzuri sambamba na Auntie.Nina shangazi yangu hatari sana kwenye kupika maharage, huyo nnaweza kula, tatizo nnapenda nyama...mama yupo, i make sure hata mara 5 mpaka 10 kwa mwaka nnakula chakula chake kwakuwa tunaishi mbali ntaenda kwake tarehe 18, na nimemuambia nimemiss samaki perege wadogo wa nyumba ya mungu na ndizi za kukaanga asubuhi kaniambia nisijali, i cant wait to board that train