Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapana mkuu sijafanyaa hivoUmenigeuka bro?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapana mkuu sijafanyaa hivoUmenigeuka bro?
Jitahid😁😁naianzaga inakata,nairudia tena inakata,basi tabu tubu
Zipo juuNimeona tu kiuno na mkoba
vitamu haramu ndiyo vinamaliza mwili ongeza hamasanaianzaga inakata,nairudia tena inakata,basi tabu tubu
😂😂😂😂😂Zipo juu
Acha uzembe
Nitajitahidi sana..maana nakuwa kama John CennaJitahid
Uzumbe kweli hujakoseaZipo juu
Acha uzembe
itahi aiseh hakuna namnavitamu haramu ndiyo vinamaliza mwili ongeza hamasa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Jitafutie stress za kujitakiaa uone kama hutopungua😂Nitajitahidi sana..maana nakuwa kama John Cenna
Haya weka yako basi na mimi nitaweka tenaUzumbe kweli hujakosea
UmeonaUzumbe kweli hujakosea
umembeba mtoto wa kiume mgongoni mnaenda hospitaliZipo juu
Acha uzembe
Zipo nyingi tu mkuu ukitoa hizo nilizoweka Jana.umembeba mtoto wa kiume mgongoni mnaenda hospitali
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Hakuna stress inayonimalizaga nguvu kama kukosa japo mia mbili mkononi na chaneli za kutafuta fweza zikagoma🙆♀️Nasikiaga kukata kata roho hivi maana napukutika kama majani ya mwarobaini usoni nakuwa kama Ganda la limao😅na hiyo stress siitaki aise Mungu anasaidieJitafutie stress za kujitakiaa uone kama hutopungua😂
Ingekuwa vipi?Haya weka yako basi na mimi nitaweka tena
Hahahhahah jaribu nyingne uoneeHakuna stress inayonimalizaga nguvu kama kukosa japo mia mbili mkononi na chaneli za kutafuta fweza zikagoma🙆♀️Nasikiaga kukata kata roho hivi maana napukutika kama majani ya mwarobaini usoni nakuwa kama Ganda la limao😅na hiyo stress siitaki aise Mungu anasaidie
Inahitajika uchambuzi yakinifu mkuu. me ndiyo ya kwanza hiyo nimeiona nikiona zingine as well naweza sema pakubwaZipo nyingi tu mkuu ukitoa hizo nilizoweka Jana.
Kuna watu hata hizo za Jana hawajaziona,eti niwaonyeshe![]()