Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Na wewe peleka unaa kule jirani yangu.sema Amen 🤪🤪🤪Peleka ukuda kule![]()
Na wewe peleka unaa kule jirani yangu.sema Amen 🤪🤪🤪Peleka ukuda kule![]()
Yale ya popcorn???🙂🙂🙂Hivi unayajua mabumunda![]()
Ha ha unatokea uchagani nini lizzy?daah acha kabisa huo upishi wa ndizi, aisee ni tamu sanaaaBasi inabidi upate na mpishi mwingine mzuri sambamba na Auntie.
Glad to hear mama is still around.
Dah....why did you have to mention perege jamaniUkiacha ndizi za kukaanga....umewahi kula za kupikwa na perege wa kukaagwa wanawekwa juu ya ndizi dakika za mwisho kabla ya kuzi-serve??? Yohhhhh
ni moto wa kuotea mbali
Used to be one of my bibi's speciality
![]()
Watoto mayaiUtakula kwa kuwa huna namna lakini Sochi chakula ukipendacho.hiyo hali ndo ninayo sasa


Eti kuna kijana nimemuajiri 🤣🤣🤣 i like that!!Siku nitajitolea kukupikia huu mchongo, wewe na madogo...utawaambia tuu kuna kijana nimemuajiri atakuja leo kupika![]()
Lipo kama limkate ligumu hivi bumunda mkate wa kiGerman uleYale ya popcorn???
Nimekula sana Arusha when I was a kid. Sasa hivi hata ladha sikumbuki ila najua nilikuwa nayapenda sana!!!
My bibi treat pia...ninapenda sana ila tangu alivyoondoka duniani sijawahi kula tena hiviBasi inabidi upate na mpishi mwingine mzuri sambamba na Auntie.
Glad to hear mama is still around.
Dah....why did you have to mention perege jamaniUkiacha ndizi za kukaanga....umewahi kula za kupikwa na perege wa kukaagwa wanawekwa juu ya ndizi dakika za mwisho kabla ya kuzi-serve??? Yohhhhh
ni moto wa kuotea mbali
Used to be one of my bibi's speciality
![]()
Ntakataaje asili yangu sasa 🙂🙂Ha ha unatokea uchagani nini lizzy?daah acha kabisa huo upishi wa ndizi, aisee ni tamu sanaaa
Ule unafungwa na jani la mgomba alafu unachemshwa??? Naujua ila sikumbuki ladha yake. Is it good???Lipo kama limkate ligumu hivi bumunda mkate wa kiGerman ule
Same here 🙁🙁My bibi treat pia...ninapenda sana ila tangu alivyoondoka duniani sijawahi kula tena hivi
Wacha wee kumbe wapenda perege ee...safiNina shangazi yangu hatari sana kwenye kupika maharage, huyo nnaweza kula, tatizo nnapenda nyama...mama yupo, i make sure hata mara 5 mpaka 10 kwa mwaka nnakula chakula chake kwakuwa tunaishi mbali ntaenda kwake tarehe 18, na nimemuambia nimemiss samaki perege wadogo wa nyumba ya mungu na ndizi za kukaanga asubuhi kaniambia nisijali, i cant wait to board that train
Hiyo kitu nimekula juzi nilikuwa Kijijini...haki unapata ladha ya chakula kuliko kawaida 😋😋Basi inabidi upate na mpishi mwingine mzuri sambamba na Auntie.
Glad to hear mama is still around.
Dah....why did you have to mention perege jamani 😢😢 Ukiacha ndizi za kukaanga....umewahi kula za kupikwa na perege wa kukaagwa wanawekwa juu ya ndizi dakika za mwisho kabla ya kuzi-serve??? Yohhhhh 😯😯 ni moto wa kuotea mbali 😋😋 Used to be one of my bibi's speciality 🙃🙃
Umeanza mabalaa yako Elly sio🤪
Utafanya tutekweHaionekani

Wewe sasaWatoto mayai![]()
Upo Mkoa mpya wa Songwe lilipo lile Gereza maarufu la Ngwala kama uliwahi sikia story yake.Upo.wapi huu mgodi