Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Angalia comments za juu kidogo,niliweka picha jioni hii
Haya nasubiri zako

Angalia comments za juu kidogo,niliweka picha jioni hii

Siku zile jukwaani wapi tena mpendwa?Hata yule wa siku zile jukwaani umeshindwa kuibuka nae kidedea?
Hapo kwa T 1990 ELY 😅😆😆😆😆umeibukia wapi Mjep
Juu wapi tena bibie, maana nimefika hadi 1st postAngalia comments za juu kidogo,niliweka picha jioni hii
Haya nasubiri zako![]()



Hapana mtakatifu siumwi.ni katika harakati za kufanana na inglish figaPole
Unaumwa?
Dah......😅😅😅😅😅hebu muache T 1990 ELY wangu Mjep 😅😅😅
Aaaaaa kumbe nimechanganya madesa 😅😅😅😅😅Siku zile jukwaani wapi tena mpendwa?
Yesu wanguHapana mtakatifu siumwi.ni katika harakati za kufanana na inglish figa

Juu wapi tena bibie, maana nimefika hadi 1st post
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app


Nile tuu😅😅Yesu wangu
Wewe kula tu sukari,mwili huo mzuri Mbona
Punguza wivu mkuu..kesho nitakutaja wewe sawa!Dah......
Namuonea wivu mkuu
Nile tuu
Mwenzako nikila asubuhi,mchana,jion kwa siku mbili tu hunishiki





Nenda kwenye post then nitag, maana napitiliza
Umeenda mbali mno.
Nilikuwa namaanisha posts za leo


Nimekutag

Nimekutag
Labda Kama hupati notifications
Nasubiri picha Yako![]()



nitakutumia PMSawa