T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,926
- 30,072
Tehteh....kausha basi na wewe msukuma wa bariadi
![]()
Karibu Bariadi-Simiyu
Tehteh....kausha basi na wewe msukuma wa bariadi
![]()
Asante mkuuTehteh....
Karibu Bariadi-Simiyu
Ulishaga wahi kufika au hata kupita tu?Asante mkuu
Hapana huko sijawahi kufika.na wala sijawahi kufikiria kufikaUlishaga wahi kufika au hata kupita tu?
Naomba nikushawishi ufikilie kufika huku mkuuHapana huko sijawahi kufika.na wala sijawahi kufikiria kufika
Asante mkuu..kukiwa kuna cha kufanya kinilete huko basi nitakujaNaomba nikushawishi ufikilie kufika huku mkuu
Tanzania ni nchi kubwa sana
Cha kukufanya kikulete huku tayari kipo mkuuAsante mkuu..kukiwa kuna cha kufanya kinilete huko basi nitakuja
Ni kitu gani ?Cha kukufanya kikulete huku tayari kipo mkuu
Macho matatu kama rafiki wa kawaida kabisaNi kitu gani ?
😅😅😅hapana mkuu asante..ule ulikuwa ni utani wa wazi kabisaMacho matatu kama rafiki wa kawaida kabisa
Hata mimi najua ulikuwa ni utani wa wazi kabisahapana mkuu asante..ule ulikuwa ni utani wa wazi kabisa
Hapana.asanteHata mimi najua ulikuwa ni utani wa wazi kabisa
Ebu kuwa na utayari huo mkuu
Inawezekana ni mgumu kwako lakini kwa mwingine mlaini kama Ute wa yai au wewe unaonaje msukuma wa JF 😅
Hahahahaha.....Hapo kwenye ute nimewaza mbali sanaInawezekana ni mgumu kwako lakini kwa mwingine mlaini kama Ute wa yai au wewe unaonaje msukuma wa JF![]()

😅😅😅umejiona ulivyo na akili mbaya sasaHahahahaha.....Hapo kwenye ute nimewaza mbali sana
Kwa nini umetumia ute wa yai?![]()
Teh!!umejiona ulivyo na akili mbaya sasa
Wivu wa nini sasa😅Teh!!
Eti kwa mwingine ni mlaini....
Huyo mwingine namuonea wivu uliotukuka
Leo hutaki kujilipua na picha au muda bado haujafika?Wivu wa nini sasa![]()