linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
[emoji14][emoji14][emoji14]Wewe hmn kbsaaaNami naruhusiwa?
[emoji14][emoji14][emoji14]Wewe hmn kbsaaaNami naruhusiwa?
ComingNjoo PM
Mok kimataifa [emoji173]Haya tuwakilishe vyema kimataifa
Ipeperushe bendera vizuri kama feni mbovu😅😅😅Mok kimataifa [emoji173]
Aina shida nayo ina gharama zake mkuu[emoji851]Yeah!!najua bei yake mkuu
Ila fomu ya jimbo wajumbe siyo watu wazuri
Nataka nichukue fomu ya kuwania urais nichukue nchi mazima na viunga vyake
Wazee wa fursa sasa😁😁Yeah!!najua bei yake mkuu
Ila fomu ya jimbo wajumbe siyo watu wazuri
Nataka nichukue fomu ya kuwania urais nichukue nchi mazima na viunga vyake
Itakuwa[emoji23][emoji23]Itakuwa kanusa kitu hyoo
Poa tu kwani shi ngapi/bei gani bhanaAina shida nayo ina gharama zake mkuu[emoji851]
ItakuwaItakuwa
Wa?[emoji101]Water wa fursa sasa[emoji16][emoji16]
Mmmh[emoji14][emoji14][emoji14]Wewe hmn kbsaaa
Mmmh, acha wengine wachukue wenye hela za fomu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiiiiiiiiiiiiiikribu jimboni mtu chake alikosa hela ya kuchukulia fomu
Nikajua apeperushe kiuno kama feni mbovuIpeperushe bendera vizuri kama feni mbovu[emoji28][emoji28][emoji28]
Rafiki yangu asikutese bila sababu ya msingi.piga chini😅Mmmh
Hawa watakuwa waumini wa gwaji wana mafunzo hatari[emoji5][emoji5][emoji5]Wazee wa fursa sasa[emoji16][emoji16]
Niachie nchi mkuuMmmh, acha wengine wachukue wenye hela za fomu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Laki tano tu mkuu hela ya sodaPoa tu kwani shi ngapi/bei gani bhana
Laki si pesa milioni hela ya chai[emoji1]
Hata kama milioni hela ya bia mimi natoa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Laki tano tu mkuu hela ya soda
We nae eee huoni kama nimetumia tafsida amaNikajua apeperushe kiuno kama feni mbovu
Kumbe apeperushe bendera [emoji1]