Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
Huyu dogo ni mtu poa sana,sijui kwanini imetokea nimemkubali sana hiviUkishangaa ya introverts hujayaona ya Karma. Nimepitia exchange zako hadi nimehisi kukuogopa.. Tukasalini jamani, Mungu ana viumbe wake sio wa kawaida aisee..
Chakula kitamu sana hicho.Yes dear 🙂🙂
Ukikua utaacha.Sasa daddy kwani haujui kuwa kwenye kila familia lazima kuna mtoto mmoja ambaye atakuwa tofauti na wenzie! Na mara nyingi huyo mtoto lazima awe hasara!
Hivyo chukulia tu ni hasara kama hasara nyingine unazopata kwenye vitu kama biashara au nini! Huku ukijua unao wengine watatu ambao hawana matatizo yoyote!
Unavyojikutaga mkubwa sasa[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huo uoga ndiyo ulinifanya nisihitaji kupendwa tena hivyo nilishaacha kuhitaji kupendwa tangu nikiwa yanki
[emoji6]Niko poa babe! Tupia picha basi babe [emoji8][emoji8]
Daaaah c* nlkua buzzy kidog, ila ucjar mie nmerud now.We dogo ulipotelea wapi?
Uuuuuuh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] lol
Wee c* chibonge, jomoneeeeeeh nmekumis had naumwa mie uwiiiiiih.
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning babe[emoji173][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umri bado haujafika Ndiyo maana..
Ngoja ukue kue kwanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi hata direction ya maisha sina..
Sasa hao watoto[emoji134][emoji38]
Mimi nitoe hapo,labda Mama mchungaji HS
Good morning my love! Umeenda ibadani?Good morning babe[emoji173]
Hatupo.Hodi
Haupo.....Hatupo.