Alikuwa jirani yangu,tumekua wote,tumesoma wote ila yeye alikuwa mkubwa kwangu maana alirudia olevel.
Shule walijua sisi ni ndugu wa damu,
Chuo tulienda wote, wazazi wanajua tuna watoto ndugu wanasaidiana huko,mwaka wa kwanza,mwaka wa pili tumeishi poa tu.
Alikuja kuniporomoshea matusi kisa maandamano ya dada wa Taifa
Halafu ubaya wake alikuwa hakawii kulia ukijibu mapigo