Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi siyo CCM ila magufuli nampenda.
Mimi siyo CCM na simpendi Gwajima.

Mimi siyo Chadema ila nampenda sana Sugu.
 
Kweli dunia haiko fair.
Njoo tubadilishane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki nimecheka, kumbe unatamani kuwa mnene.

Nina rafiki yangu huyo ni mfupiii halafu mwembambaaa huwa tunamuita "cha upepo" (you can imagine how skinny she is) lakini eti kuliko kuwa mnene naona bora niwe kama huyo. Namuonea wivu she can eat anything at anytime na hanenepi ila sisi wengine sasa woii mie napenda sana kula ila mwili ndiyo unanifelisha maana nikila kidogo tu nafutuka kama nini sijui! [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Mie sina undugu nao kabisa.
 
Cha upepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mimi ningekuwa mfupi sijui ningekuwaje[emoji848]

Ila unene ni hasara,kuna ndugu zangu wanapambana nao hapa yaani unene umekuwa Vita[emoji16]
 
😀😀 hongera kwa kumpoteza rafiki muhafidhina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kunipa nazo?
Akhsante

Ila hata usiponipa nitatafuta
Mwishowe utasema nikuletee na wafanyakazi , mbegu I'm not sure pale kilimo uyole b mkubwa anachukuaga zile nzuri nitauliza miundombinu ikoje maana wanajigawaniaga tu [emoji3][emoji3]Mali za CCM
 
Shida ni pale watu hadi wanazichapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Haki Kuna watu Wana matumizi mabovu ya nguvu zao
 
Cha upepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Mimi ningekuwa mfupi sijui ningekuwaje[emoji848]

Ila unene ni hasara,kuna ndugu zangu wanapambana nao hapa yaani unene umekuwa Vita[emoji16]
We acha tu! Yaani unene unatufanya tushindwe kufaidi vitu vizuri!

Shukuru uko mrefu my dear! Kenyewe kale ni ka chei chei halafu kanafukia balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…