Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Karma mie ni medium mpenzi. Sema nikijiachia kula wiki tu nakuwa kanono kanono hivi...nadhani ndo maana huonaga utofauti sometimes [emoji16][emoji6]
[emoji4][emoji4] Sema unaonekana una mwili mzuri. Kama zile picha zako za juzi beach ulizovaa kigauni ulionekana una kamwili kadogo.

NB: Kwangu mimi mwili mdogo ndiyo mzuri. Hata mimi huwa sijikubali sababu najiona mnene sana na natamani kuwa mwembamba.
 
Kweli dunia haiko fair.
Njoo tubadilishane.
 
Wale jamaa hawana nguvu za kiume
 
Sawa
Sasa umeshanimovivate na nimemotivetika.
Bado kunimotivate kwa vitendo sasa.

Ngoja niulize idadi ya mashamba yanayobaki bila kulimwa.
Naogopa kutaja hekari nyingi maana zitanitesa kwenye palizi.
Usilete masifa Sasa ukalima Kijiji kizima mbolea siunajua mfuko mmoja elfu 60 [emoji3][emoji3]
 
Douta, mfano mimi sio chichiem lakini I appreciate Magu, utanielezea vipi?
Ukishaonyesha appreciation wanakugroup kwenye CCM
Jamani daddy kwani hamjui kuwa CCM ni Magu na Magu ni CCM? Na hii ndiyo sababu kwanini ni ngumu kumuamini mtu anayesema eti yeye siyo CCM ila anampenda Magu au mtu aseme yeye ni CCM ila hampendi Magu technically hilo haliwezekani!

Japo ninyi wenyewe mnaosema hivyo mnaweza msilijue hilo lakini huo ndiyo ukweli! Tunaposema haya tunaonekana tunaropoka tu lakini time will tell!
 
Yeah, hapo ni shida. Japo nahisi viongozi wamekosea sana kutengeneza matabaka ya wananchi.
Lakini mnajua nini! At the end of the day kila mtu ana haki na uhuru wa kusupport chama chochote anachokitaka na kiongozi yeyote anayemtaka haya mambo wala siyo ya kulazimishana wala kuleta uadui kati yetu bali huwa tunaeleweshana tu ili tujue ni wapi nchi yetu inakoelekea!
 
Usilete masifa Sasa ukalima Kijiji kizima mbolea siunajua mfuko mmoja elfu 60 [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hekari 2 tu zinatosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshaconfirm ni 2.

Kazi kwako,jmosi nitakusubiri Kama nangoja ufalme wa mbinguni[emoji1787].
Tena nitakuwa nakukumbusha Mara 2 2
Uzuri najua namna ya kukupata,sikukucheki tu siku zile nilipata matatizo.
 
Ok poa mbegu tafuta aina ya decalb au nazo huna [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…