Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu acheni mambo ya ajabu jamani, mbona mambo madogo tu hayo.
 
Leo najaribu kujipikilisha ndizi. Hapa nakata kata nyanya na vitunguu halafu navimiksi vyote humo humo na maviungo mengine vitajuana vyenyewe. Makiseo na Espy leo msicheze mbali wanangu [emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 1619043
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo mwanao nani sasa?
Uliniambia huwa unapika hivi siku wifi hayupo.
 
Nimeishi kijijini, kwahiyo shambani nakujua vizuri japo nina kauvivu.

Hapo kazi kubwa ninayoiona ni kupanda na palizi..
Kulima nitatumia ng'ombe.

Naisubiri hiyo mbolea,ila ni bure,sina hela ya kukulipa[emoji1]
Wew fresh from school hela utoe wapi? Nikija na gari nitabeba huku nikipanda Basi Kuna sehemu uyole utachukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…