Chadema wakishinda uchaguzi ni wa haki,
Wasiposhinda uchaguzi umevamiwa!
Tena kama nafasi ya Urais Wala wasihangaike kulia,bora hata Ubunge na udiwani.
Mimi nilikuwa kijijini huko na nimewasaidia baadhi ya wazee kupiga kura..wanauliza kwani mgombea mwingine ni yupi??wanamjua magufuli tu!
Unaanza kumuelekeza mzee, unamwambia habari za risasi za Lisu ndiyo kwanza anazisikia kwako.
Akifika
pale anataka umuonyeshe ilipo CCM.