Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuonyesha kwamba I agree witchu [emoji817][emoji817] (japo sielewani na urojo [emoji3061][emoji3061]) msikilize Prezzo akikuambia For Sho....For Shizzy [emoji445][emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa urojo nakuelewa sana mama, hauko peke yako.

Na mimi najibu "for shizzle my nizzle" [emoji109][emoji109]
 
Nacheka.. hivi mliambizana?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] Wala hata, mie tangu zamani nilitamani nilirudie hili ila mods walishanikatalia nikawa sina chance ya kubadili tena.

Ila walivyotupa access ya kujibadilishia jina ndiyo kama wakawa wamempa kichaa rungu, yaani hata sikuchelewesha siku hiyo hiyo nikabadilisha.

Mdogo wako sijui ni nani aliyefanikiwa kumshawishi alirudie hilo jina nampa hongera huyo mtu, maana wengine tulibembeleza tukaambiwa hilo jina halirudi ng'oo.

Ila mie nimefurahi tu limerudi, maana nalipenda utafikiri langu. [emoji3][emoji3] [emoji85][emoji85]
 
Nimefurahi sana Jina na Avatar vimerudishwa.
Kwanza nilivyoona tu nikaanza kucheka.

Ila wewe bora ungeacha tu lilelile kuliko hili[emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdogo wangu bado tu unawaza hili la karma? Si nilishakwambia huwa tunachagua majina yanayoendana na sura zetu mama!
 
Unajua kuna kitu umenifumbua hapa...
Ina maana JF sasa hivi imempa mtumiaji uwezo wa kujibadilishia ID peke yake na siyo kazi ya Mods tena?

Kama ni hivyo mbona kuna watu watabadili ID kila siku[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…