T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,079
Habari ya uzima mpendwa@T 1990 ELY
Habari ya uzima mpendwa@T 1990 ELY
Hawajanipindua kweli?Missing u babe![]()
Aah huo kula mwenyewe.Matunda nimeshaachana nayo. Sasa nimeelekeza nguvu zote kwenye ugali. Hujambo?
Ely samaki wangu wako wapi?
Wapo ila hujawa na utayari wa kuwapokea mkuu JaelEly samaki wangu wako wapi?
Ununio....Dynasty beach. Pazuri kweli 🙂🙂Wapi hapa dear pasafi hivo![]()
Salama Elly.. Habari ya huko?Habari ya uzima mpendwa
Si tulikubaliana unawaleta nyumbani?
Hakuna wa kuchukua nafasi yako!Hawajanipindua kweli?
Tutazungumza.mie hata sijui
Oohh kumbe leo umekuja nyumbani kwetu kabisa. Kutoka home hadi hapo ni dakika 30 tu kwa mguu huwa nashinda hapo karibu kila jumamosi.Ununio....Dynasty beach. Pazuri kweli![]()
Kweli ni pasafi sana for an open beach!Oohh kumbe leo umekuja nyumbani kwetu kabisa. Kutoka home hadi hapo ni dakika 30 tu kwa mguu huwa nashinda hapo karibu kila jumamosi.
Ndiyo ufukwe unaojitahidi kwa usafi dar nzima. Karibu nyumbani.
Huku kwema mpendwaSalama Elly.. Habari ya huko?
Naomba kuonana/kukutana na wewe faragha tafadhariSi tulikubaliana unawaleta nyumbani?
Oohh leo nilizama fasi ya coco beach ndiyo nimemalizia weekend yangu pale