Yea amepiga Sana misumari leoMzee baba Leo amepiga maombi hatari![]()
Kiben ten hatakiwi aisee anatakiwa mchapa kazi kumtunza huyu mtoto inapaswa uwe vzrMkuu vipi anataka kiben ten?![]()
Leo kulikuwa na mafuriko ya watu

Niliona kwe tv watu wengi ,Cha muhimu ulisikia neno hata ungekaa juu ya paaLeo kulikuwa na mafuriko ya watu
Nimefika viti vilishajaa![]()

, Badala ya kumwangalia mwakaseghe mie nimejikita kuangalia picha ile juu ya mlangoMwakasege chakula Cha rohoView attachment 1604109
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nilipata siti baadaye baada ya kukaa chini kwa muda mrefu.Niliona kwe tv watu wengi ,Cha muhimu ulisikia neno hata ungekaa juu ya paa,
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Badala ya kumwangalia mwakaseghe mie nimejikita kuangalia picha ile juu ya mlango


picha ya kalenda ya CRDBAnamaliza lini kwa mbeya?Nilipata siti baadaye baada ya kukaa chini kwa muda mrefu.
Nimejitahidi nimemaliza hadi mwisho Leo. Kulikuwa na upako wa aina Yake.
Ndo ashamaliza hivyo.
Sikumaliza yote nilipata dharura,, hivi huyu mzee iringa hakuji?Ndo ashamaliza hivyo.
Hujaona anavuoutakia mji wetu amani au kwenye Tv huwa wanakatisha muda ukiisha?
Nimeizoom hao watu
SijajuaSikumaliza yote nilipata dharura,, hivi huyu mzee iringa hakuji?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nimeizoom hao watu
Nikasema huyu jamaa anatuzeveza tu hapa kumbe ana familia Yake nzuri ila kutwa kujilalamisha hapa nimuombee

ningejidai Sana ningekua na familia Kama hio nilikua nakaa na mdogo wa kike alivoanza kazi akataka Uhuru anakaa kwake nakaa na dogo alitaka kua dereva wa boda boda nilimjulia humu humu jfOh Kumbeningejidai Sana ningekua na familia Kama hio nilikua nakaa na mdogo wa kike alivoanza kazi akataka Uhuru anakaa kwake nakaa na dogo alitaka kua dereva wa boda boda nilimjulia humu humu jf
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app

Mabaharia aka mafurushi watakuwa wameweka ndani



Alikua hajawai kukaa geto ndio ajifunze kidogo hapa angelemaa tu , yupo humu humu jf kijana ana nidhamu acha kabisaOh Kumbe
Sasa huyo wajina si angekaa tu hapo Jamani...kwenda kuhangaika kukaa mwenyewe duh!
Natamani niulize I'd ya huyo unaekaa naye![]()
Mimi sina mpango wa kutoka nyumbani..labda nihamishwe kikaziAlikua hajawai kukaa geto ndio ajifunze kidogo hapa angelemaa tu , yupo humu humu jf kijana ana nidhamu acha kabisa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
