Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,180
- 11,262
Nipe na tano kabisa nitaanza kukuuliza updates kuanzia kesho
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nipe na tano kabisa nitaanza kukuuliza updates kuanzia kesho
Sasa sio haraka hivyo jaman loh..nipe time 😅Nipe na tano kabisa nitaanza kukuuliza updates kuanzia kesho
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ni ipi hiyo mtakatifu wangu.niambie mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kuna comment yako nimeisoma kwenye Uzi wako almanusura nizimie kwa kicheko
Hshaaa sawa mkuu Nina Moto eeeh upweke unazingua na umri ndio uleeeeeeeSasa sio haraka hivyo jaman loh..nipe time [emoji28]
Nibembeleze vizuri sasa ili nisikupige chini jiraniUsinipige ban aisehhhh nakuhitaji
Una moto si wa nchi hii loh..Hshaaa sawa mkuu Nina Moto eeeh upweke unazingua na umri ndio uleeeeeee
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una moto si wa nchi hii loh..
[emoji28][emoji28]
Mkuu mbona umenitaja as if sifiti kwenye vigezo
Naomba amani itawale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7]Nibembeleze vizuri sasa ili nisikupige chini jirani
Mbembelezo gani huo sasa..akuuu sitakiNaomba amani itawale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23]
Asante boss
Kuna kijana alikuwa anataka ujitolee ili auage usingle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ipi hiyo mtakatifu wangu.niambie mama
😅😅nikamjibuje jamni..haki mambo ni mengi mnoooooKuna kijana alikuwa anataka ujitolee ili auage usingle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu lake Sasa [emoji119][emoji119]aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]nikamjibuje jamni..haki mambo ni mengi mnooooo
Hebu niite kwenye huo uzi mtakatifu..nikajionee hilo jibu lililokuchekeshaJibu lake Sasa [emoji119][emoji119]aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishasahau namba ya commentHebu niite kwenye huo uzi mtakatifu..nikajionee hilo jibu lililokuchekesha
Kazi tu zimenibana dear. Lakini huwa nipo napita kimya kimya.Ndiyo nini kupotea hivyo jamani?