Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,917
- 236,447
Kazi anayoifanya ni wokovu tosha.Na Tena wajina wako ndio Safi kabisa atakua wifi bomba,, Ila hajaokoka [emoji3] Labda mtatusaidia kumueka kundini
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mungu kwa neema yake atamuingiza zizini .