Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Unataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwee ujage dar na wewe
Unataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwee ujage dar na wewe
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] nilikumiss zaidi ya unavyodhani dadaKhaaa mnyaki nilikumiss jamani mweeh
[emoji23][emoji23] mbona sisi wengine hatujafa na hayo mafurikoUnataka nifie kwenye mafuriko wakati Hata kuogelea sijui[emoji134]
Nitapambana kabla sijafika 32 na nyie mnisaidie jamani huko mliko kama wapo umoja ni nguvuJitahidi kukimbizana na muda jombaa
Kwenye zile semina ukichek check kwa macho yako ya rohoni kweli siwezi ambulia kitu?Hajaamua tu kutafuta
K vant inapendwa kama juice ya tende, siri ni nini wakuuStar park moroView attachment 1603411
Itakuwa mnakaa ushuani[emoji23][emoji23] mbona sisi wengine hatujafa na hayo mafuriko
Hii harusi wanakamati na wageni waalikwa mlijichanga naona mnagonga vitu vilaaini mpaka mlewe ni asubuhi
Kwenye semina kamtafute Mungu tu!Kwenye zile semina ukichek check kwa macho yako ya rohoni kweli siwezi ambulia kitu?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Inapunguza kitambi[emoji16]K vant inapendwa kama juice ya tende, siri ni nini wakuu
Kwa hii mvua hakuna cha wanaokaa ushuani wala sisi wa madongo kuinama! Karibia kote ngoma droo tu!Itakuwa mnakaa ushuani
Naogopa kuja kuogelea huko
Mwanampotevu uzi lilipoa kumbe ulikua likizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inapunguza kitambi[emoji16]
Nani kasema kitambi kinapungua kwa k vantInapunguza kitambi[emoji16]
AiseeeKwa hii mvua hakuna cha wanaokaa ushuani wala sisi wa madongo kuinama! Karibia kote ngoma droo tu!
Hebu tulia sehemu moja, baada ya uchaguzi kuna mitamaaAiseee
Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja
[emoji23][emoji23]Naamini Mungu ninayemtumikia atanilinda na hatari zoteHebu tulia sehemu moja, baada ya uchaguzi kuna mitamaa
Sema mdogo wangu kuna uongo umenipiga live yani kweupe endelea kuwa muongo halafu Mungu wako hapendi uongo[emoji23][emoji23]Naamini Mungu ninayemtumikia atanilinda na hatari zote
Nipo ndugu yangu! Sikuwa likizo ila kazi tu ndiyo zimenibana!Mwanampotevu uzi lilipoa kumbe ulikua likizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
K Vant na Konyagi zote zinapunguza vitambi sijajua kwa spirit za aina nyingine! Ila hizo nina ushahidi nazo!Nani kasema kitambi kinapungua kwa k vant