Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Karibu sana. Ila mie huo mwezi nitakuwa dodoma.Aiseee
Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja
Karibu sana. Ila mie huo mwezi nitakuwa dodoma.Aiseee
Ngoja mafuriko yaishe December nitakuja
[emoji134]Karibu sana. Ila mie huo mwezi nitakuwa dodoma.
Niambie jiraniJirani
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] nilikumiss zaidi ya unavyodhani dada
Umekimbia kambiNiambie jirani
Sio vijana sema hata wa makamu tuchangamkie fursa sisi ndiyo tutamlea vizuri sio vijana wanapiga makofi na mateke, aje tule pension wote mpaka afurahi, nahivi ni muuguzi nitakua siuumwi dawa ipo ndaniLeo nilienda kazini kwa dogo akanipime presha # Dr Anne ,, vijana changamkieni fursa au mnaogopa wasomi [emoji2]View attachment 1603482
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hizi k vant/konyagi haziongezi kitambi ila sio kupunguza kitambi, na kitambi kitabaki pale paleK Vant na Konyagi zote zinapunguza vitambi sijajua kwa spirit za aina nyingine! Ila hizo nina ushahidi nazo!
Hahahahaa mkuu itabidi nikufanyie usailiSio vijana sema hata wa makamu tuchangamkie fursa sisi ndiyo tutamlea vizuri sio vijana wanapiga makofi na mateke, aje tule pension wote mpaka afurahi, nahivi ni muuguzi nitakua siuumwi dawa ipo ndani
Uongo gani jamani [emoji23][emoji23]Sema mdogo wangu kuna uongo umenipiga live yani kweupe endelea kuwa muongo halafu Mungu wako hapendi uongo
Sasa si uichangamkie mwenyewe hapo.Leo nilienda kazini kwa dogo akanipime presha # Dr Anne ,, vijana changamkieni fursa au mnaogopa wasomi [emoji2]View attachment 1603482
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Huyu ni mdogo wangu wa damu mkuu anaenifuatia.. vijana wa jf wanasema wanawake wasomi wakorofi Ila nawatoa hofu dgo ni Safi sanaSasa si uichangamkie mwenyewe hapo.
Wewe watafutia watu fursa halafu mwenyewe unakosa.
Oh Kumbe dada yakoHuyu ni mdogo wangu wa damu mkuu anaenifuatia.. vijana wa jf wanasema wanawake wasomi wakorofi Ila nawatoa hofu dgo ni Safi sana
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Yes ni young sister,, Mimi bado mpendwa nasubir wakati wa mungu kuamua hatmaOh Kumbe dada yako
She is so cuteYes ni young sister,, Mimi bado mpendwa nasubir wakati wa mungu kuamua hatma
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ongea nae aisee tuunge familia na hivi ni hapo hapo uyole mnakuja tu kwa mguuShe is so cute
Naona ana jina kama langu [emoji7]
Ngoja niongee na braza tulete mahari[emoji4]
😅😅umenitelekeza jirani nikaamua kuondoka tu.Umekimbia kambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongea nae aisee tuunge familia na hivi ni hapo hapo uyole mnakuja tu kwa mguu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Na Tena wajina wako ndio Safi kabisa atakua wifi bomba,, Ila hajaokoka [emoji3] Labda mtatusaidia kumueka kundini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimempenda huyo wajina.
Wacha tufanye namna
Na utengano ni udhaifu.nitakupambania.Nitapambana kabla sijafika 32 na nyie mnisaidie jamani huko mliko kama wapo umoja ni nguvu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app