Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Ukimshirikisha Mungu hakuna linaloshindikana.Mdogo wangu Mambo ni magumu haya Ila sijui ni kwa wote I personally suala la selection bado Niko slow mnooo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Itabidi nijitathmini kiroho kwanza Kama nastahili kupata kitu Bora kwa wakati ganiUkimshirikisha Mungu hakuna linaloshindikana.
Tatizo huwa hamtaki kusali na kumsikia Mungu.
Mnajiendea endea tu mnavyotaka..lazima ukubali kulipa gharama ya muda na utii wa kusikia,
Huwezi ukasikia Kama huna Roho mtakatifu,Huwezi kuwa Naye Kama mazingira yako si masafi,anakaa mahala pasagi tu.
Angalia hayo,kuna sehemu utakuwa unakosea..
Pia muulize Mungu majira yako sahihi ya wewe kuingia huko Kama bado hayajafika au tayari.
Ubaya ni kwamba wewe(mwanaume)unaenda kisanii,,mwanamke anakupokea kitukio tukio.hapo lazima maisha yawe gharama🤪🤪
Hahahahaha anakupokea kitukio tukio nimecheka Sana , sema mnapenda ready made manUbaya ni kwamba wewe(mwanaume)unaenda kisanii,,mwanamke anakupokea kitukio tukio.hapo lazima maisha yawe gharama
Ngoja niitafuteNdio hizo recent ninazozisema
Moja nimepost Jana..ukipanda juu kidogo utaona
Hebu weka yako basi
Uko mbeya?😳Nilikuombea.
Leo mwalimu alisema tuombee kwanza mahitaji ya watu kabla hatujajiombea sisi.
Semina ilikuwa nzuri japo nilifika kwa kuchelewa kidogo nikakuta ameanza
Mvua pia ilitaka kutusumbua ila ilitulia.
😔🙏Take your time View attachment 1602617
Mungu anaujua mwisho kabla ya mwanzoNinaswali hapa..kwa mujibu wa..
Mathayo 22 ambayo inasma..
Hao walioalikwa Arusini wakakataa kuja na wakawatenda watumwa wa mfaleme huyu kwa kiburi kwa uelewa wangu najua ni Wana wa Ibrahim Isaka na Yakobo (Israel), hao waliokusanywa kutoka barabarani na na njiapanda ndio SISI non Israelites al maarufu kama Watu wa mataifa...Hilo eneo la kuwakusanya watu barabarani baadae Yesu alilikazia kabisa kwa kuwaambia kama inavyoelezwa kwenye Mathayo 28 kua Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa kua wanafunzi wangu..
Sasa dukuduku langu liko hapa, kama Hao walioalikwa (Waisrael) wangekubali kumpokea Mungu (kusikiliza watumwa wa mfalme ambao ni Manabii na mitume wa Mungu) Je nini kingetokea kwetu? Hatima yetu sisi watu tuliokusanywa njiapanda na barabarani ingekuaje??
Kwakweli wakati wa mahubiri nilijikuta nataka kutoka relini kwa kutafakari hayo maswali hapo juu kutokana na somo la leo.
NasubiriNgoja niitafute
NdiyoUko mbeya?
We miss you moreHello guys, you're missed from this sidee
Cheka tu hakuna namna mkuu.Hahahahaha anakupokea kitukio tukio nimecheka Sana , sema mnapenda ready made man
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Watu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.Itabidi nijitathmini kiroho kwanza Kama nastahili kupata kitu Bora kwa wakati gani
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Thank you Mjep 😘We miss you more
Nadhani dada chakorii utamfaa sana broCheka tu hakuna namna mkuu.
Acha masihara mkuu..tafuta mbabe huko.awe mweusi lkni hawanaga mambo mengihawa weupe hawa
Sawa dogoSina MKUU
Black is my fav colour aisee nitaanza rasmi Sasa kutafuta in a very serious way nisije fika kua senior bachelorCheka tu hakuna namna mkuu.
Acha masihara mkuu..tafuta mbabe huko.awe mweusi lkni hawanaga mambo mengihawa weupe hawa
Amina mtumishi unatema Sana madini # nitazingatia proceduresWatu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.
Amini hakuna mtu atakuombea vizuri kwa Mungu Kama ambavyo ungejiombea mwenyewe.
Personal fellowship with God
Wanataka nguvu za Mungu lakini hawahangaiki kumtafuta huyu MUNGU mwenye nguvu.
Wanataka miujiza ya Mungu lakini Mungu mtoa miujiza hawafanyi bidii kumsikia.
Kuna mbinu rahisi sana ya Mungu kujibu maombi yako..nikufundishe?
Ikikupendeza nifundishe abcWatu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.
Amini hakuna mtu atakuombea vizuri kwa Mungu Kama ambavyo ungejiombea mwenyewe.
Personal fellowship with God
Wanataka nguvu za Mungu lakini hawahangaiki kumtafuta huyu MUNGU mwenye nguvu.
Wanataka miujiza ya Mungu lakini Mungu mtoa miujiza hawafanyi bidii kumsikia.
Kuna mbinu rahisi sana ya Mungu kujibu maombi yako..nikufundishe?