Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa natamani nijaribu siku moja nione namna watu wanavyolewa
Yaani inakuwaje kuwaje hadi mtu kabisa na akili zake analewa
Inashangaza sana, eti mtu analewa mpaka anajikojolea. Nilikunywa zile zenye jina lako chupa mbili zikakata maana kile kidude ni kitamu jamani and I was okay sasa sielewi nakwama wapi mie

Nataka siku nijaribu kulewa nikiwa home lakini nione kama nitafikia kwa hawa wanaoitwa walevi, nione kama akili zitaruka mpaka nijikojolee bila kujitambua
 
Dont try it at home alone
Nipe mwaliko ukihitaji kujaribu ili nikulinde
 

Kumbe swala la kulewa ni akili ya mtu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…