Ukijaribu hiyo siku unatakiwa uwe chumbani umejifungia, maana pombe inakawaida ya kukufanya uwe mduwanzi sana, utapoteza network utafanya mambo makubwa ya kushangaza hasa kwa wageniHuwa natamani nijaribu siku moja nione namna watu wanavyolewa
Yaani inakuwaje kuwaje hadi mtu kabisa na akili zake analewa[emoji848]
Unataka kula chakula bila kunawa, cheza kwa stepNimembananishwa na ingizo jipya[emoji1]View attachment 1596323
Nilishasema siwezi kulewaUkijaribu hiyo siku unatakiwa uwe chumbani umejifungia, maana pombe inakawaida ya kukufanya uwe mduwanzi sana, utapoteza network utafanya mambo makubwa ya kushangaza hasa kwa wageni
Pombe zina stimu kama stimu nyingineInakuwaje mtu analewa?
Mimi siwezi
KumbeNilishasema siwezi kulewa
[emoji23][emoji23]Kumbe
Kabisa akili inihame??[emoji848]Pombe zina stimu kama stimu nyingine
Hii moka nimeielewa
Unaka kujua pombe ukinywa akili inahamia wapi? We unajua sema unanitega tu.Kabisa akili inihame??[emoji848]
A wapi
Natamani kujua.Unaka kujua pombe ukinywa akili inahamia wapi? We unajua sema unanitega tu.
Inahamia uvunguniNatamani kujua.
Sijui kwa sababu sijawahi kunywa
Ila yangu nadhani haiwezi kuhama wallahInahamia uvunguni
Umeshawahi kunywa pombe? Umesema hujawahi,, Hebu jaribu basi kesho nipe mrejeshoIla yangu nadhani haiwezi kuhama wallah
Inahama vipi na mtu upo hapohapo?
Yaani kuna maswali huwa najiuliza sipati majibu
Nitajaribu siku moja hiyo yenye jina langu.Umeshawahi kunywa pombe? Umesema hujawahi,, Hebu jaribu basi kesho nipe mrejesho
Unataka kumpoteza eeUmeshawahi kunywa pombe? Umesema hujawahi,, Hebu jaribu basi kesho nipe mrejesho
Dont try it mdogo wangu pleaseNitajaribu siku moja hiyo yenye jina langu.
Niliambiwa ni tamu Sana.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] NamsaidiaUnataka kumpoteza ee
πββοΈπββοΈπββοΈπππAcha umbea kapambane na uzi wako kule