moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,006
Simara simara location plzz
Kwema mzee babaMmmmh
Mkuu kwema
Mifumo yetu afrika, tamaduni zetu miiko yetu ya kiafrika ndiyo ilileta hii mambo ya utegemezi, unafanya kazi utatakiwa usaidie wadogo zako, wajomba, mashangazi wakina bamdogo na mama wadogo mbona tafraniUjamaa unaangusha wengi, ila ndio namna yetu ya kuishi, ndugu kwani ni walemavu?hawawezi kufanya kazi pia?yani niamke saa 10 nilale saa 6, afu mtu asubiri jasho langu...
Ahhh imekaa vizuri, nilishatembelea huko mwaka 1999Matema Beach, Kyela![]()
Mbona umejiziba hivyo??
Mifumo yetu afrika, tamaduni zetu miiko yetu ya kiafrika ndiyo ilileta hii mambo ya utegemezi, unafanya kazi utatakiwa usaidie wadogo zako, wajomba, mashangazi wakina bamdogo na mama wadogo mbona tafrani











Vizuri sana kama ni kwema pande hizo mkuuKwema mzee baba
Yani nimeongea kwa uchungu acha tu hawa ndugu hawa, naikumbuka ile figure acha tu, halafu juzi nimesikia amefungua kituo cha biashara kingine bar na club kimya kimya natamani nijue location natokea kama mzimu, maana ukimkumbushia huwa anasema subiri subiri naumie na nina shida nayo japo na mimi niwekeze kama yeye
Mjomba![]()
Hicho kiatu usikuvue weka bill yangu mwambie naja
Ahhh imekaa vizuri, nilishatembelea huko mwaka 1999
Sana i ave been there in 1999, we ulikua wapi nyakati hizoDuuh kweli zamani
Mwaka wa uchaguz huuMbona umejiziba hivyo??
Sana i ave been there in 1999, we ulikua wapi nyakati hizo
Ni yeye.....