*[emoji91][emoji91]USIISHIE KULIA KWA NINI GALLERY YA SIMU YAKO INAJAA KILA MARA. [emoji95][emoji95]*
Hii ndiyo namna ya kuepusha simu yako kujaa picha,video nk kutoka kwenye magroup uliyonayo.:
(1.) Nenda kwenye group ambalo hutaki picha, video zake nk ziingie kwenye *gallery.*
[emoji365] Angalia upande wa juu kulia na utaona vinukta vitatu na ubonyeze hapo.
[emoji365] Yatatokea maneno haya: *Group info, Group Media, Search,Mute notification, Wallpaper na More*.
[emoji365] Bonyeza sehemu iliyoandikwa *"Group info"*. Ikifunguka utaona maneno haya *:Mute, Notification,Media visibility, Encryption na Group settings*
[emoji365] Bonyeza sehemu iliyoandikwa *"Media visibility"* ambapo yatatokea maneno haya: *Default, Yes, No*.
[emoji365]Bonyeza palipoandikwa neno *"NO"* kisha bonyeza neno *"[emoji678]"* hapo chini upande wa kulia.
Kwa kufanya hivyo,hata ungekuwa na magroup mia,kamwe gallery ya simu yako haitajaa, maana vitu vyote vitabaki kueleaelea tu ndani ya group.
[emoji1607][emoji1607][emoji1607]