Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kijana mdogo kama wewe ambae tunakutegemea katika kuleta mabadiliko kwenda kwenye mamikutano ya maCCM ni mambo ya aibu!
Wewe waona ni aibu
Mimi sioni aibu.
Wewe endelea kuwa mfia chama

Mikutanoni nitaenda maana ni haki yangu kusikiliza sera za wagombea kabla sijafanya maamuzi ya nani nimchague

Hata wa Lisu nilienda
Screenshot_20201001-213117.jpg
 
Wewe waona ni aibu
Mimi sioni aibu.
Wewe endelea kuwa mfia chama

Mikutanoni nitaenda maana ni haki yangu kusikiliza sera za wagombea kabla sijafanya maamuzi ya nani nimchague

Hata wa Lisu niliendaView attachment 1587410
Mlima Iwambi 'lango la kuzimu'..! Au wapi hapo?

Hapa amesemaje kuhusu ile diversion ya S.t Mary's seminary? Au ndo tumepotezewa na mwenyekiti muongo muongo?
 
Mlima Iwambi 'lango la kuzimu'..! Au wapi hapo?

Hapa amesemaje kuhusu ile diversion ya S.t Mary's seminary? Au ndo tumepotezewa na mwenyekiti muongo muongo?
Wewe ni mwenyeji wa mbeya eeh?
Huu mlima unatisha sana.
Mimi huwa naona bora nitembee namna hiyo kuliko kupanda gari hapo

Mkuu siasa ni mchezo mchafu.
Hizo zote ni propaganda tu.
 
Back
Top Bottom