[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au unaonaje madam?[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka picha acha porojo
[emoji23][emoji23][emoji23]natuma za kipnd kileeeeWeka picha acha porojo
Mkuu nitafutie connection ya kaz hapo maana huku Kitaa Hali sio shwari
Hivi kunizungusha karibia mwezi mzima bado tu hutaki kuweka picha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjep na Saint Anne mwenye singida Dodoma yake[emoji38][emoji38][emoji38]
Bas natumaHivi kunizungusha karibia mwezi mzima bado tu hutaki kuweka picha?
Upo mkoa gani una fani ama ujuzi wowote?Mkuu nitafutie connection ya kaz hapo maana huku Kitaa Hali sio shwari
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba hivyo vinono[emoji7][emoji7]
Na Mimi naomba koneksheni[emoji4] ya kubeba hiyo mifuko
Ile ofa ya konyagi bado ipo mkuu?#daladalani [emoji590][emoji590]View attachment 1586981
Hahahaha Na kilo zako 50 si ndio utakufa wew jamani labda ukaage ghalani kuhesabuNa Mimi naomba koneksheni[emoji4] ya kubeba hiyo mifuko
Ziko 60 saiviHahahaha Na kilo zako 50 si ndio utakufa wew jamani labda ukaage ghalani kuhesabu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hahahaa dogo langu utavunjika kiuno bure ushindwe timiza Yale majukumu mengine hizi waachie wanaumeZiko 60 saivi
Wewe nipe kazi,ili mradi hela inapatikana