kaa mkao wa kulaShusha.ingawa nimedandia treni
kaa mkao wa kulaShusha.ingawa nimedandia treni
Acha maneno weka pichaMadam nishushe mzigo?
Ukikaa mbele karibu na dereva unawahi kufika
Kabisa.Ukikaa mbele karibu na dereva unawahi kufika
Kiatu kizuri
Usije nipe ahadi feki mkuu..kaa mkao wa kula
Shuka umefika#daladalani 🚌🚌View attachment 1586981
Fika beiKiatu kizuri
Niambie unavaa size ngapi nikununulie.niambie na kala kabisaFika bei
Na mimi nitupie selfie hapa?Acha kucomplicate mambo.
Piga selfie
TupiaNa mimi nitupie selfie hapa?
Mdogo wangu huwa natupia hii picha yangu hapa karibia kila siku ila unadai kuwa hujawahi kuniona!Una nini lakini?Tupia
Tena sijawahi kuona ukijiselfisha hapa
Mdogo wangu huwa natupia hii picha yangu hapa karibia kila siku ila unadai kuwa hujawahi kuniona!Una nini lakini?View attachment 1587356

Kijana mdogo kama wewe ambae tunakutegemea katika kuleta mabadiliko kwenda kwenye mamikutano ya maCCM ni mambo ya aibu!Full of green
#GreencityView attachment 1586700
Kwa hiyo unamkana na kumkataa kaka yako?