Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Kuweka picha full yataka ujasiriKwani kuna nini tena
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kuweka picha full yataka ujasiriKwani kuna nini tena
Nyie tukiwaomba picha zenu mnatunyima

Mi ni jasiri naweza weka bila kuogopa chochote
Tuko sawa tuMmh!hata wakijua wanamjua tu Kagere sio wide kama wewe apo![]()
Weka Basi boss itakua Safi sanaMi ni jasiri naweza weka bila kuogopa chochote
We si ni International levelTuko sawa tu
Mimi kagere simjui

HapanaWe si ni International level![]()
Pole mwaya.Mno
Tangu asbhi nimepanga kupika pilau ila pepo la uvivu limenivaa
Wacha nikafanye mambo,umenipa Nguvu![]()
ZinahamishikaOh pole
Zingekuwa zinahamishika ungenihamishia mimi

Acha dharau kijana..kuna vichwa huku vya mpira kuliko unavyodhani🥂🥂Mmh!hata wakijua wanamjua tu Kagere sio wide kama wewe apo![]()
Mhm!ladies wanaojua Mpira wachache sanaAcha dharau kijana..kuna vichwa huku vya mpira kuliko unavyodhani![]()
Chukua mtakatifu mamaNaomba raba
Nikaribishe LizzyLate lunch / early dinner....
View attachment 1568757
Tukaomba basi huo mkopo mkuu nina shida ya fifti tuu
Huijui jeiefu kijanaMhm!ladies wanaojua Mpira wachache sana
Ila Saint Ane anajua kidogo