cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Sawaah dea nkajua na wee unatumia, mmmmhSinywagi dear..nimepiga nayo picha tu
Sawaah dea nkajua na wee unatumia, mmmmhSinywagi dear..nimepiga nayo picha tu
Nilikumiss mama mchungaji jomoneeeeeh.
DuhMkuu mwanadada amekuelewa acha kuvunga, cheo unapandishwa, toka msela mpaka mume
Washana hawachezi mpira, wao ni vyuma tu mzee!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
@Jael[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Nimerudi tenaNilikumiss mama mchungaji jomoneeeeeh.
Marahabaa dogo, hujambo?@Jael
Sijambo dada yanguMarahabaa dogo, hujambo?
[emoji56][emoji56][emoji56]tupe na vitambulisho jf wote watujue [emoji173]Happy birthday baby love wa linahbaby, uishi maisha marefu [emoji3057][emoji1635][emoji482][emoji1634][emoji1634][emoji1634][emoji898]
Sawa nitamusalimia.....Msalimie SHIMBA YA BUYENZE
Mwambie ahadi ni deni.
Achna na mtu chake wacha aone wivu [emoji849]mtu chake na SHIMBA YA BUYENZE mpaka wanapatwa na wivu eti jinsi mnavyoitana
Utashi wao utakuwa mdgo [emoji2][emoji2]Kha itabidi tupunguze kuitana hivi wengine wanaelewa vingine .
Habari ya leo Rafiki ?Utashi wao utakuwa mdgo [emoji2][emoji2]
Naviomba hvyo vya pili kutoka mwisho mkuu
Nilivo nauchu mimi nikiona tu nalamba simu tusitesane bhna wakat hamtaki kutualika