linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Hakika the first time namjua baby Tansy japo sijawahi muona kwa sura yaan nilifill like dada angu kabsa tumbo moja the way anavo care, yaan anashauri vzuri,anajulia hali,hana maneno ya kumuuzi mtu yaan ni mtu frani hvi simple hana kokoro wala mbwembwe ametulia [emoji173] iko ndo kitu nampendea..nilimuita dada akaitika yaan naonaga raha sana [emoji56] mwisho ananiitaga majina mazuri mazuri tu I LOVE YOU TansyNimewatania msiache kuitana hivyo mnapendezea kwa kweli,