Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
Home tu mkuu
Njoo tips ule bia. Kama uko na access ya kufika muda huu
Home tu mkuu
Jirani usimseme rafiki yangu vibaya🤣🤣🤣Usumuite huyo atapotea na kila kitu
Nataka nifanye mpango nimpandishe cheo😅😅Unataka na wewe uwe jirani
Hebu mpandishe cheo, ili nae ajisikie yupo ulaya ulayaNataka nifanye mpango nimpandishe cheo[emoji28][emoji28]
Jirani usimseme rafiki yangu vibaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio mzinguaji bhana jirani..sema ni vile mwandiko wake unaonekana hapendi shooofu zisizonamaanaKumbe mzinguaji
Sinywagi dear..nimepiga nayo picha tuMmmmh kumbe huwa unakunywa [emoji481]? Lol jomoneeeh
Sipo na access ya kufika mkuu...AsanteNjoo tips ule bia. Kama uko na access ya kufika muda huu
Ngoja aje akikubali anakula cheo kipya fasta..😅😅Aseme anataka kuwa nani..Hebu mpandishe cheo, ili nae ajisikie yupo ulaya ulaya
Hapana rafiki.asante🥂🥂Chukua uber njoo
Hahahaha hapana Mkuu mm niko mbali na mtaa wenuUnataka na wewe uwe jirani
Hahahaha, hapana MkuuWe spy [emoji1998][emoji1998][emoji1998][emoji1998]
Hapa kulikuwa n balaa zito
Mtaa wa saba[emoji23][emoji23]Hahahaha hapana Mkuu mm niko mbali na mtaa wenu
Mkuu mwanadada amekuelewa acha kuvunga, cheo unapandishwa, toka msela mpaka mumeHahahaha, hapana Mkuu
Hapa kulikuwa n balaa zito
Jirani acha mambo ya ajabu..huyo ni married 👨...anaweza akawa step fazaMkuu mwanadada amekuelewa acha kuvunga, cheo unapandishwa, toka msela mpaka mume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani acha mambo ya ajabu..huyo ni married [emoji67]...anaweza akawa step faza