Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,743
- 51,165
Janker ni mzuri kama mbwa wangu,Janker
Janker ni mzuri kama mbwa wangu,Janker
Mbwa wako anaitwa nani?Janker ni mzuri kama mbwa wangu,
SkylerMbwa wako anaitwa nani?
Usiku kana kaa kwenye cageMbwa wako anaitwa nani?
Jina zuriSkyler
Hahahaha, mm pia nimekajengea ki cage, jioni nakipigisha tiziUsiku kana kaa kwenye cage
Jirani njoo iniboksi...nimetua pande hizi leo...Usiku kana kaa kwenye cage
Rafiki mzima?..Janker
PoazMamboz
Umepelekwa au umeenda home mkuu
Yote majibu mkuu🥂🥂Umepelekwa au umeenda home mkuu
NimekumisslavuziPoaz
Hahahaha Rafiki unalala sana mpk unapitwaRafiki mzima?..
Naomba na mimi nimuone mbwa wako nimepitwa![]()
I miss u babez, msalimie mdogo wako MakiseoHuyu shemeji yako sijui hata yuko dunia gani
Eli79 uje huku bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,
Njoo usain makaratasi.Hahaha,
Natembea huku nikinyata kukufuata ulipo
Mh...Hayo makaratasi ya kuvunja undugu sitaki hata kuyasikia...
Ajikute tu akiyachana. Njoo uyasain haraka lasivyo utanilipa fidia ya usumbufu.Mh...Hayo makaratasi ya kuvunja undugu sitaki hata kuyasikia...
Nitamtuma Makiseo aje kuyachana kabisa
Sikulala nilikuwa offline jamani...😢😢😢😢Hahahaha Rafiki unalala sana mpk unapitwa