Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu fala moja linatoka huko lilikotoka na kuanza kubwabwaja eti binadamu wote ni sawa. Sawa mai futi [emoji51][emoji51][emoji51]
Hahahaha ,kabisa Mkuu ,hivi we ushawahi kuitwa iniboksi ? Hizo fursa huwa kwa watu maalum tu humu JF

Mm na wewe tugonge likes tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuitwa inbox mkuu tena binti kabisa akisema amefika sehemu niliyopo. Na naamini haitakaa itokee. Hii ni kwa watu spesheli tu ama wenye mshiko kuzidi ule wa Cobalt au sifa zingine ambazo wengine hatuna.

Jael na Makiseo hebu jitahidini mnikaribishe inbox hata kama ni kwa kuzuga tu ili nibusti konfidensi yangu pulizi [emoji16][emoji2221]
 
Hahahaha

Big no.
 
Give it a bad name
IMG_20200904_072048_338.jpg
 
Back
Top Bottom