Selfika na JF: Snap it. Show it

@Chakorii mwandiko kwani unaoneshaje mtu ana fedha mbona walimu wa kike wanaandika vizuri na wanaingiza fedha
Huo mwandiko wako unaonekana unauremba mno.wewe unatolea wapi mda wa kuremba mwandiko namna hiyo ikiwa uko buzy unakimbiazana na muda??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mwandiko wa kutembea unajulikana na mwandiko wa kukimbuzana na muda unajulikana.ila usijali uko vizuri hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…