Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee
Akhsante [emoji120]Pole sana kwa wiki ngumu
Aiseeee
....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja na mm nimpe hongeraMsimshangae sana mara nyingi miandiko ya namna hiyo inakuwa bado iiko skuli.haijaanza kutumika kuingiza fweza [emoji28][emoji28]
Hongera zake mwandiko unavutia
Chibonge[emoji7][emoji7]
Hvi kumbe niliandika hivyo!??Kujifanya ulinitumia bangi, lini hiyo?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!mwandiko umenipa shida shule kweli..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja na mm nimpe hongera
Hongera sana, Ila kuandika notes ubaoni& kuandikia watu naona ilikuwa advantage kwako maana unakuwa ndo ushasoma kabisa tena btn lines.Dah!mwandiko umenipa shida shule kweli..
Walimu walikuwa wananiomba niandike notsi ubaoni ilikua inanikera..
Halafu sasa kila mwalimu akiingia darasani Nyie wanafunzi andikeni Kama zagarino..!
Na rafiki zangu walikuwa wanaomba niwaandikie notsi ilinikera
Kwahiyo unataka tena kubisha huyo sio mimi sio😅😅Nimeshatia timu mkuu ila huyu mdada namfahamu
Eeee bwana 😅😅😅Chibonge[emoji7][emoji7]
Kwema[emoji112]
😅😅😅tulia kijana ndo maisha hayo[emoji23]yaani mabisho wanaenda photoshoot kupiga picha ya kulipia hawapati likes insta Ila kadada kanapost picha ya lips tu kwa bahati mbaya Ila likes kama zote
The World is not fair#Nguvu ya sketi[emoji23]
Mi siwezi kukubishia wewe mkuu, mi ntakubiashiaje wakati sikufahamu?Kwahiyo unataka tena kubisha huyo sio mimi sio😅😅
Naweka nowUtaweka saa ngapi..ili nisitoke hewani
Hongera kwa mwandiko [emoji4][emoji4]Love Love Love[emoji7]View attachment 1546966
WekaNaweka now
Duuuuh hadi vizuriiiihWazungu wanavyo ponda waafrika[emoji23][emoji23]View attachment 1546983