Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,397
Halafu nina siku mbili sijavuta, ngoja niitafute nishtue kidogo.
Umeanza bangi zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nina siku mbili sijavuta, ngoja niitafute nishtue kidogo.
Umeanza bangi zako
Mambo ni mengi muda mchache
Yaani bro kichwa changu kilivyo cha moto
Wewe kumbe na ladies huwa mna stress kiasi HichoKwa sasa hata ungeniwekea millioni siwezi
Kichwa changu cha moto mno.

Ile niliyokutumia Imeisha!??
Naomba namba ya mzee wakoNina kipara siku hiziView attachment 1529891
ismail hassan
Captain
Sent using Jamii Forums mobile app
HongeraAmna imetokea tu umekua hivyo toka nikiwa mdogo naturally sijafanya jitihada zozote kuremba kaka...
Since then nikiwa school mtu alikuwa akiona daftari langu anajua mi msichana
Nimeibiwa Sana madaftari ya notes kwa huu mwandiko
MnoMambo ni mengi muda mchache




We mtu uko duniani!!!We jamaa mwandiko mzuri huu wa jinsia ile ulifundishwa na nani!??
Umepata wapi hadi muda wa kuweka mikia katika kila herufi!??
Hongera kwa mwandiko wenye kuvutia
Umeenda kuifufua?Naomba namba ya mzee wako
Unataka kusemaje eti!??
Kwamba ladies wao huwa hawana ubongo wa kuwaza?Wewe kumbe na ladies huwa mna stress kiasi Hicho![]()
Unajua una kichwa cha moto halafu unaanza mabishano!??Kwamba ladies wao huwa hawana ubongo wa kuwaza?
Kwa kweliUnajua una kichwa cha moto halafu unaanza mabishano!??
Hebu pumzika basi dada




Pole sana kwa wiki ngumuMno
Hii wiki yenyewe inanipelekesha kama gari bovu..najikaza kisabuni tu![]()
Wewe tena kwa kunishushua
Nimeshatia timu mkuu ila huyu mdada namfahamu
Hahah haya,neno lako ni sheria ngoja nilitimize