Weee nani kasema?? Hayo maneno tu hata mimi nilikuwa nayasikia kabla sijaenda ila nilivyoenda nilichokikuta kule mbona nililaani walikuwa wanasema oohh ile kambi ya wagonjwa kwahiyo ni mwendo wa bata tu sasa kwa taarifa yako hao wagonjwa walikuwa wanatengwa ndiyo wanapewa kazi rahisi wengine wote doso kama kawa kama dawa!!